http://millardayo.com/category/mgt/
DICK EMA YUSUPH
Kwaajili ya kuelimishana na kujuzana maswali flani ya kijamii na kiroho pia
Thursday, June 2, 2016
Sunday, May 19, 2013
Wednesday, January 30, 2013
Wednesday, December 12, 2012
Je, Freemasons wanahusikaje na Mpango Mpya
wa Ulimwengu (New World Order)?
~ Freemasons na Mpango Mpya wa Ulimwengu:
Mpango Mpya wa Ulimwengu (New World Order) ni mkakati wa zamani za kale
ulioasisiwa na Chama hiki cha Freemasons chini ya uongozi wa maaskofu wa
Kikatoriki na Kiongozi mkuu wa dini hiyo (Papa) huko Vatican. Mpango huu una
mikakati mingi lakini mkakati mkuu ni kutawala ulimwengu mzima kwa nguvu za
umizimu na uongozi wa yule nyoka wa zamani, yaani ibirisi na shetani.
Mikakati mikubwa iliwekwa takribani zaidi ya miaka 1000 iliyopita ili
kuhakikisha hilo linatimia. Vatican ilibuni kuteka na kumiliki taifa lenye
nguvu (Amerika) kwa kupitia umizimu na kuhakikisha kuwa ndilo litakalofanikisha
Mpango Mpya wa ulimwengu. Maandiko katika kitabu cha ufunuo yamelitaja hili kwa
wazi kabisa nalo limedhihilika ulimwenguni kote.
“Kisha nikaona mnyama mwingine, akipanda juu kutoka katika nchi; naye
alikuwa na pembe mbili mfano wa mwana kondoo, akanena kama joka. Naye atumia
uwezo wote wa mnyama yule wa kwanza mbeleyake. Naye aifanya dunia na wote
wakaao ndani yake wamsujudie mnyama wa kwanza … Ufu 13 :11-12.
Wanyama katika maandiko matakatifu na kiunabii huwakilisha
ufalme au taifa. Nabii Daniel pia alionyeshwa wanyama wanne ambao kwa tafsiri
ya maono hayo toka kwa malaika, iliwakilisha falme na mataifa ambayo
yangetawala katika ulimwengu wa enzi za biblia kabla na baada ya kuzaliwa kwa
Kristo hadi siku za mwisho, … “Akaniambia,
Tazama, nitakujulisha yatakayokuwa wakati wa mwisho wa ghadhabu; maana, ni ya
wakati wa mwisho ulioamriwa. Yule kondoo mume uliyemwona, mwenye pembe mbili,
hizo ndizo wafalme wa Umedi na Uajemi. Na yule beberu, mwenye manyoya mengi, ni
mfalme wa Uyunani; na ile pembe kubwa iliyo kati ya macho yake ni mfalme wa
kwanza. Tena katika habari ya pembe ile iliyovunjika, ambayo badala yake zilisimama
pembe nne, falme nne zitasimama kutoka katika taifa lile, lakini si kwa nguvu kama zake. Na wakati wa mwisho wa ufalme wao, wakosao
watakapotimia, mfalme mwenye uso mkali, afahamuye mafumbo, atasimama, Na nguvu
zake zitakuwa nyingi mno lakini si kwa uwezo wake mwenyewe; naye ataharibu
kiasi cha kustaajabu watu, na kufanikiwa, na kutenda apendavyo; naye
atawaangamiza hao walio hodari na watu watakatifu. Na kwa mashauri yake
atafanikisha hila mkononi mwake; naye atajitukuza nafsi yake moyoni mwake; naye
atawaangamiza wengi katika hali yao ya salama; naye atasimama kushindana naye
aliye Mkuu wa wakuu; lakini atavunjika, bila kazi ya mikono. [Daniel 8:19-27]”
… hivyo ndivyo ilivyo tafsiri ya wanyama toka mafumbo ya kiunabii
ikiwakilisha falme.
Ukirejea katika Ufu 13, utaona pia nabii Yohana akionyweshwa
kwa mfumo ule ule, ukiashiria kuinuka kwa ufalme toka ufalme kwa ishara za
wanyama ambapo yule wa kwanza aliibuka toka majini na yule wa pili akitoka
katika nchi, huku huyu wa pili akitumia uweza wa yule wa kwanza. Bado bahari ni
ishara ambayo kiunabii huashiria watu wengi, na hivyo nchi huashiria mahali
pasipo na watu.
~ Mikakati ya Freemasons katika kufanikisha Mpango Mpya wa Ulimwengu [New World Order (NWO)]:
Mikakati mikubwa ya
freemasons katika kuuteka ulimwengu - kwa jina lingine “Masonic Timeline” - ilipangwa miaka mingi iliopita na wahasimu wa
taasisi hiyo kwa siri sana.
Baadhi ya mikakati hiyo ilitimizwa miaka mingi kabisa, mingine ndio kabisaa
sasa inafanyiwa kazi, na mingine iko mbioni kuanza kuchukua hatua zake. Ratiba
ya mambo hayo ijurikanayo kama Masonic Timeline ni ratiba ya siri sana na wanaofanikiwa
kuijua ni wanachama wa chama hicho tu na wanaoweza kuzitoa kwa watu baki ni
wale tu waliokuwa wanachama na kisha kukisariti chama hicho cha siri kwa
kuachana na u-freemason na hata kutoa siri hizo. Mikakati hiyo – japo si yote –
ni kama ifuatavyo:
- Kuteka na kutawala taifa la Marekani, serikali yake na kumiliki pesa na taasisi za kifedha, mashirika makubwa ya kibenki na makampuni ya kuzalisha bidhaa na hata silaha za taifa hilo. “Nyoka akatoa katika kinywa chake, nyuma ya huyo mwanamke, maji kama mto, afanye kuchukuliwa na mto ule. Nchi ikamsaidia mwanamke, nchi ikafunua kinywa chake, ikaumeza mto ule alioutoa yule joka katika kinywa chake. Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu, nae akasimama juu machanga wa bahari.” [Ufunuo 12:15-17]
Nabii Daniel
alionyeshwa njozi ya mambo ambayo yangetokea katika kipindi cha historia ya ulimwengu huu, katika njozi
iliyositaajabisha sana. Wanyama
waliibuka toka baharini, wakiashiria falme
zenye uwezo na mamlaka ya kiulimwengu, zenye kutawala
Kwanza kabisa, Daniel
aliona upepo ukivuma katika bahari, na Simba
mwenye mabawa mawili ya tai mkubwa yaliyofutuka akaibuka toka baharini. Daniel 7:4 ~ ikiashiria ufalme wa Babel
Pili Upepo ulipovuma, Daniel akaona
mnyama mfano wa Dubu na mifupa
mitatu ya mbavu ilikuwamo kinywani mwake

mamlaka za mataifa mengine
ulimwenguni. Wanyama hawa waliibuka kwa awamu, ikiashiria mfuatano wa mamlaka
hizi zenye nguvu za kiulimwengu katika kutawala mataifa mengine.
Daniel 7:4


Daniel
7:5


Subscribe to:
Posts (Atom)